Joan M., 12th Grade
Dreams
Every time I wake up, I remember that I have to be strong I had to prove myself since I was young People judged me before knowing me I do not expect everything to come on a silver platter So I work, I sacrifice, and devote myself Hoping that at the end of the line I will win I will thrive and show the world what am capable of My cocoon has not been broken yet But am working on it everyday I will work hard like an ant To make sure I get to the light at the end of the tunnel Because I not like any other person am unique. |
Nguvu (in Swahili)
Kila siku nikiamka,nakumbuka ninahitaji kuwa na nguvu. Walinishuku nikiwa mdogo Walinihukumu kabla ya kunijua sitegemei nipatiwe kila kitu Kwa hivyo ninafanya kazi,ninajitolea Nikiamini kuwa katika mwisho wa laini nitashinda Nitastawi na nitaonyesha dunia uwezo wangu Sijaambua nganda langu Lakini ninafanyia kazi kila siku Nitafanya kazi kama mchwa Nitahakikisha kuwa nitafika kwenye mwangaza uliomwisho wa handaki Kwasababu mimi ni wa kipekee. |